new empower yourself now - acttactt.co.tz/pdf/jiwezeshe brochure 2017.pdf · 2018. 1. 30. ·...

2
Affordable Computers & Technology for Tanzania The Much Needed Training Package that Increases Youth Employability & Productivity Giving the much desired Skills needed by Employers & for Self-Employment.! Enhancing Employability And Workplace Productivity! Empower Yourself Now PROGRAMU YA ELIMU KWA VIJANA Je, ungependa kuongeza uwezo wa kupata ajira ya taaluma uliyosomea katika ulimwengu huu wenye ushindani wa ajira? JIWEZESHE ni suluhisho la kujiwezesha kujua kile ambacho waajiri wanachotarajia kutoka kwako na jinsi ya kupata ile kazi unayohitaji!!! Kwa kupitia wakufunzi waliobobea na ufundishaji unaotumia teknolojia na mbinu za kisasa za ufundishaji utajifunza mambo muhimu kama vile: Matumizi ya teknolojia katika kusaka ajira, kuboresha na kurahisisha kazi pamoja na kujiajiri, Jinsi ya kuendeleza taaluma yako, Mbinu za Mawasiliano yenye tija Elimu ya biashara na fedha Thamani ya Muda Ujasiriamali Mbinu za mauzo na mahusiano na wateja Umuhimu wa bajeti na kujiwekea akiba AFFORDABLE COMPUTERS & TECHNOLOGY FOR TANZANIA MOSHI HEAD OFFICE: CCM MKOA COMPLEX, Taifa Road Mobile: 0736-181 181 or 0767-881 181 P.O Box 7810 Moshi-Tanzania MWANZA BRANCH: BALEWA ST, OPP NYANZA PRIMARY, Mobile: 0756-733 361 or 0767-881 178 Email: [email protected] www.actt.co.tz Lengo la Mafunzo: Kuwatayarisha vijana kwa ajira. Vijana watakaoleta tija na ubunifu kazini kwa kuwapa mafunzo yanayohusu uwajibikaji na utendaji kazi unaokidhi matakwa ya waajiri. Walengwa: Miaka 16 na kuendelea.. Muda wa Mafunzo: Miezi Miwili (2) Gharama za Mafunzo: TShs 150,000 tuu. Mahali: Ofisi za ACTT Mwanza na Moshi an actt company an actt company

Upload: others

Post on 22-Oct-2020

7 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • Affordable Computers & Technology for Tanzania

    The Much Needed Training Package that Increases Youth Employability & Productivity

    Giving the much desired Skills needed by Employers & for Self-Employment.!

    Enhancing Employability And Workplace Productivity!

    Empower Yourself Now

    PROGRAMU YA ELIMU KWA VIJANA

    Je, ungependa kuongeza uwezo wa kupata ajira ya taaluma uliyosomea katika ulimwengu huu wenye ushindani wa ajira?

    JIWEZESHE ni suluhisho la kujiwezesha kujua kile ambacho waajiri wanachotarajia kutoka kwako na jinsi ya kupata ile kazi unayohitaji!!! Kwa kupitia wakufunzi waliobobea na ufundishaji unaotumia teknolojia na mbinu za kisasa za ufundishaji utajifunza mambo muhimu kama vile:

    • Matumizi ya teknolojia katika kusaka ajira, kuboresha na kurahisisha kazi pamoja na kujiajiri,

    • Jinsi ya kuendeleza taaluma yako,

    • Mbinu za Mawasiliano yenye tija

    • Elimu ya biashara na fedha

    • Thamani ya Muda

    • Ujasiriamali

    • Mbinu za mauzo na mahusiano na wateja

    • Umuhimu wa bajeti na kujiwekea akiba

    AFFORDABLE COMPUTERS & TECHNOLOGY FOR TANZANIA MOSHI HEAD OFFICE: CCM MKOA COMPLEX, Taifa Road

    Mobile: 0736-181 181 or 0767-881 181 P.O Box 7810 Moshi-Tanzania

    MWANZA BRANCH: BALEWA ST, OPP NYANZA PRIMARY,

    Mobile: 0756-733 361 or 0767-881 178

    Email: [email protected]

    www.actt.co.tz

    Lengo la Mafunzo: Kuwatayarisha vijana kwa ajira. Vijana watakaoleta tija na ubunifu kazini kwa kuwapa mafunzo yanayohusu uwajibikaji na utendaji kazi unaokidhi matakwa ya waajiri.

    Walengwa: Miaka 16 na kuendelea..

    Muda wa Mafunzo: Miezi Miwili (2)

    Gharama za Mafunzo: TShs 150,000 tuu. Mahali: Ofisi za ACTT Mwanza na Moshi

    an actt company

    an actt company

  • PROGRAM

    Bridging Education and Employment….

    PROGRAM DELIVERY PORTFOLIO..

    The Jiwezeshe Program is delivered through a blended strategy that incorporates Class Work, One-On-One sessions, research and workplace visit. We use modern technology and tools with qualified trainers to ensure quality service delivery.

    1. BASIC COMPUTER SKILLS • Introduction to PC (Hardware & Software Fundamentals)

    • Microsoft Office Word (Word Processing)

    • Microsoft Office Excel (Spreadsheet Management)

    • Microsoft Office PowerPoint (Presentations)

    • Internet & E-Mail (Computer based communications)

    2. CAREER DEVELOPMENT SKILLS

    • Essentials of Career Development

    • Career Counseling and Reference –ONE ON ONE

    • Job Searching Skills

    • Communication Skills

    • Professionalism in the workplace

    3. FINANCIAL LITERACY

    • Basics of Financial Literacy

    • Time Management and Value

    • Budgeting and Saving

    • Income VS Expenses for Profit Mak- ing

    • Entrepreneurship

    • Basics of Sales and Customer Rela- tionship

    *ACTT team will strive to link best per- formers to internships and work experience placements with potential employers * “A Certificate is a piece of Paper, What matters is the Energy

    behind you.. Come get that Energy…Jiwezeshe”

    Your Ladder to Success..

    PROGRAM DURATION: Two (2) Months

    COST: The total cost for the training is 150,000 TShs.

    PROGRAM DELIVERY: The program is delivered by ACTT in Mwanza, Moshi and at other centers appointed by ACTT.

    TRAINING OUTCOME: A well prepared go-get-it creative youth equipped to work at any challenging environment, self motivated and highly productive in an ever changing world.

    TARGET GROUP The Program targets youths above 16yrs and above, graduates and out of school youths…...

    TRAINING OBJECTIVE: To help the youths become job ready and HIGHLY Employable by providing intensive pre-employment training endorsed by industry to fit Employers needs

    BMS 2017