medical creole kirioli ya tiba conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis...

16
MEDICAL CREOLE Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/ Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief http://translatorswithoutborders.org/node/112 MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA . Describing an illness is often difficult even when being done in ones native tongue. Trying to do so in a foreign language can be at best very frustrating. This is meant to be a guide to non- speaking Creole medical personnel. Mara nyingi huwa vigumu kueleza maradhi hata katika lugha ya kwanza. Kujaribu kufanya hivi kwa lugha ya kigeni kunaweza kutatiza sana. Huu umenuiwa kuwa mwongozo kwa wahudumu wa afya wasiozungumza Krioli. Conditions and ailments Magonjwa na maradhi anemia anemi anemia hernia èni henia appendicitis apenndisit apendesiti hives bouton utikaria arthritis atrit athritisi hypertension rappe wo shinikizo la juu la damu asthma opresyon pumu hypotension rappe ba shinikizo la chini la damu bladderinfection enfeksyonblad maambukizi ya kibofu indigestion gonfleman maambukizi ya kibofu bloated gonflè jaundice lajònis umanjano colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare kuhara mumps malmouton matubwitubwi eczema egzema kizema pneumonia nemoni nimonia heartattack krizkadyak Mshtuko wa moyo pregnancy gwosès ujauzito heartburn zègrè kiungulia rash gratèl upele heatrash boutonchalè upele wa joto tetanus tetanòs tetanasi, pepopunda hemorrhoid emowoyid hemoroidi typhoid tifoyid homa ya matumbo The body Mwili abdomen vant fumbatio liver fwa ini ankle koudpye kifundo lungs poumon mapafu arm bra mkono mouth bouch mdomo back do mgongo muscle misk,chè msuli bladder bladpise kibofu navel lonbrit kitovu breast tete,sen titi neck kou shingo chest pwatrin,lestomak kifua nose nen pua ear zòrèy sikio palm plamen kiganja elbow koudbra kiwiko rib kòt ubavu eye je,zye* jicho penis patigason dhakari, uume, mboo

Upload: phamdiep

Post on 28-Aug-2019

214 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA

.

Describing an illness is often difficult even when

being done in one’s native tongue. Trying to do so

in a foreign language can be at best very

frustrating. This is meant to be a guide to non-

speaking Creole medical personnel.

Mara nyingi huwa vigumu kueleza maradhi hata

katika lugha ya kwanza. Kujaribu kufanya hivi kwa

lugha ya kigeni kunaweza kutatiza sana. Huu

umenuiwa kuwa mwongozo kwa wahudumu wa

afya wasiozungumza Krioli.

Conditions and ailments Magonjwa na maradhi

anemia anemi anemia hernia èni henia

appendicitis apenndisit apendesiti hives bouton utikaria

arthritis atrit athritisi hypertension rappe wo shinikizo la juu la damu

asthma opresyon pumu hypotension rappe ba shinikizo la chini la damu

bladderinfection enfeksyonblad maambukizi ya kibofu

indigestion gonfleman maambukizi ya kibofu

bloated gonflè jaundice lajònis umanjano

colic kolik koliki malaria palidis malaria

diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu

diarrhea djare kuhara mumps malmouton matubwitubwi

eczema egzema kizema pneumonia nemoni nimonia

heartattack krizkadyak Mshtuko wa moyo

pregnancy gwosès ujauzito

heartburn zègrè kiungulia rash gratèl upele

heatrash boutonchalè upele wa joto tetanus tetanòs tetanasi, pepopunda

hemorrhoid emowoyid hemoroidi typhoid tifoyid homa ya matumbo

The body Mwili

abdomen vant fumbatio liver fwa ini

ankle koudpye kifundo lungs poumon mapafu

arm bra mkono mouth bouch mdomo

back do mgongo muscle misk,chè msuli

bladder bladpise kibofu navel lonbrit kitovu

breast tete,sen titi neck kou shingo

chest pwatrin,lestomak kifua nose nen pua

ear zòrèy sikio palm plamen kiganja

elbow koudbra kiwiko rib kòt ubavu

eye je,zye* jicho penis patigason dhakari, uume, mboo

Page 2: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

eyelid poje kigubiko

shoulder zepòl bega

face figi uso spine rèldo uti wa mgongo

finger dwèt kidole stomach vant tumbo

fingernail zong ukucha wa kidole cha mkono

sternum biskèt stenamu

foot pye mguu tooth dan jino

gallbladder fyèl kibofu cha nyongo

throat gòj koo

hair cheve nywele toe zòtèy kidole cha mguu

hand men mkono toenail zongpye ukucha wa kidole cha mguu

head tèt kichwa tongue lang ulimi

heart kè moyo vagina bòbòt,patifi uke

hip ranch nyonga vein venn vena

kidney ren figo waist tay kiuno

knee jenou goti wisdomtooth danzòrèy gego la mwisho

knuckle jwentidwèt konzi womb matris uterasi, kizazi

leg janm mguu wrist ponyèt Kifundo cha mkono TRIAGE

GENERAL INFORMATION HABARI YA JUMLA What is your name? Ki jan ou rele? Jina lako ni nani?

What is your address? Ki adrès ou? Anwani yako ni ipi?

do you have your name and address written down for me to see?

Eske ou gen adrès ou ekri sou yon papye pou mwen wè li?

Je, una jina lako na anwani yako uliyoandika ili nione?

What is your phone number? Ki nimewo telefòn ou? Nambari yako ya simu ni ipi?

Are you married? Eske ou marye? Je, umeoa/olewa?

Are you the parent? Eske se ou ki paran? Je, wewe ndiye mzazi?

Are you the guardian? Eske se ou ki responsab? Je, wewe ndiye mlezi? mlezitunzi? Can you read Kreyòl? Eske ou kapab li kreyòl? Je, unaweza kusoma Kreyòl?

Can you read French? Eske ou kapab li fransè? Je, unaweza kusoma Kifaransa?

Can you read English? Eske ou kapab li rapp? Je, unaweza kusoma Kiingereza?

What is the name of your doctor? Ki jan doktè ou rele? Daktari wako anaitwa nani?

Page 3: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

Did a doctor tell you to come here? Eske se doktè ou ki di ou vini isist la?

Je, ni daktari aliyekuambia uje hapa?

POSITIONS: HALI: Please stand up Tanpri kanpe Tafadhali simama

Please sit down Tanpri shita Tafadhali keti

Please lean forward Tanpri panche devan Tafadhali egemea mbele

Please lean back Tanpri panche dèyè Tafadhali egemea nyuma

Please lean to the right Tanpri panche a dwat Tafadhali egemea upande wa kulia

Please lean to the left Tanpri panche a gosh Tafadhali egemea upande wa kushoto

Please lie down Tanpri kouche Tafadhali lala chini

Please bend your knee Tanpri koube jenou ou Tafadhali kunja goti lako

Please lean your knees Tanpri panche jenou ou Tafadhali egemeza magoti yako

Please wiggle your toe Tanpri fè dwet pye ou mache Tafadhali chezeshachezesha kidole chako cha mguu

Please wiggle toes Tanpri fè dwet pye ou yo mache Tafadhali chezeshachezesha vidole vyako vya miguuu

Please move your finger Tanpri fè dwet ou mache Tafadhali songeza kidole chako

Please move your fingers Tanpri fè dwet ou yo mache Tafadhali songeza vidole vyako

Please raise your arm Tanpri leve bra ou Tafadhali inua mkono wako

Please raise your arms Tanpri leve tou le de bra ou Tafadhali inua mikono yako

Please raise your leg Tanpri leve janm ou Tafadhali inua mguu wako

Put your head down to your chest Panche tèt ou sou lestomak ou Weka kichwa chako kwenye kifua chako

Look up Gade anlè Tazama njuu

Look down Bese tèt ou Tazama chini

Look to the left Gade a gosh Tazama upande wa kushoto

Look to the right Gade a dwat Tazama upande wa kulia

Page 4: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

Turn to the left Vire a gosh Geuka upande wa kushoto Turn to the right Vire a dwat Geuka upande wa kulia

Jump up and down several times Sote de twa fwa Ruka juu na chini mara kadhaa

Walk a few steps Mashe de twa pa Tembea hatua kadhaa

Cough a few times. Touse de twa fwa Kohoa mara kadhaae

Cover your mouth when you cough please.

Tanpri kouvri boush ou lè ou touse

Funika kinywa chako unapokohoa.

Do not move please. Pa bouje Usisonge tafadhali.

Please be still Rete trankil Tafadhali tulia

Turn towards me Vire gade mwen Nigeukie

Turn away from me Vire ban’m do Geuka kando

MEDICAL HISTORY: HISTORIA YA TIBA: :KIMATIBABU Are you allergic to any medication? Eske ou gen alèji oken

medikaman? Je, una mzio wa dawa yoyote?

Tell be all medications you are allergic to.

Di mwen tout medikaman ou ge alèji yo.

Niambie dawa zote ulizo na mzio kwazo.

Tell me the names of medications you cannot take.

Di mwen tout medikaman ou pa kapab pran.

Niambie majina ya dawa ambazo huwezi kutumia.

Are you a Diabietic? Eseke ou dyabèt? / Eske ou fè sik?

Je, una ugonjwa wa kisukari? \ Do you have low blood sugar? Eske ou manke sik nan san? Je, una kiwango cha chini cha sukari?

Do you have a history of coughing a lot?

Eske ou toujou touse anpil? Je, una historia ya kukohoa sana?

Do you have a history of high blood pressure?

Eske ou fe tansyon? Je, una historia ya shinikizo la juu la damu?

Do you have history of low blood pressure?

Eske tansyon ou bese? Je, una historia ya shinikizo la chini la damu?

Do you have a history of eye problems?

Eske ou konn gen pwoblèm nan je?

Je, una historia ya matatizo ya macho?

Hoh many times has this happened to you before?

Konbye fwa sa konn rive ou rap?

Je, haya yametokea mara ngapi kwako hapo awali?api hapo awali? Are the immunization shots being

taken on time?

Eske ou toujou pran vaksen? Je, wewe hupata sindano za chanjo wakati unaofaa?

Page 5: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

Do you have immunization records here?

Eske ou genyen kat vaksen ou? Je, una kumbukumbu ya chanjo hapa?

TIME IT HAPPENED: ILIPOTENDEKA: Did it happen today? Eske sa rive jodi a? Je, ilitendeka leo?

Did it happen a few days ago? Eske sa gen de twa jou depi sa rive?

Je, ilitendeka siku chache zilizopita?

Did it happen a few weeks ago? Eske sa gen de twa semen depi sa rive?

Je, ilitendeka majuma machache yaliyopita?

Did it happen a few months ago? Eske sa gen de twa mwa depi sa rive?

Je, ilitendeka miezi chache iliyopita?`

MORE HELPFUL PHRASES SENTENSI ZINGINE MUHIMU I have a fever. Mwen genyen lafyèv. Nina joto jingi mwilini.

Do you have a fever? Eske ou genyen lafyèv? Je, una joto jingi mwilini?

It hurts. Li fè mal. Naumia.

Where does it hurt? Ki kote li fè mal? Je, waumwa wapi?

We need a doctor right away! Nou bezwen yon doktè toutswit! Tunahitaji daktari mara moja!

Does the doctor speak English? Eske doktè a pale angle? Je, daktari anaongea Kiingereza?

I am sick. Mwen malad. Mimi ni mgonjwa.

I have a head ache. Mwen genyen yon maltèt. Nina maumivu ya kichwa.

I have diarrhea. Mwen genyen djare. Nahara.

I have no appetite. Mwen pa genyen apeti. Sina hamu ya chakula.

I have pain. Mwen gen doulè. Nina maumivu. Do you have pain? Eske ou genyen doulè? Je, una maumivu?

I have a toothache. Mwen gen maldan. Nina maumivu ya jino.

I have something in my eye. Mwen gen yon baygay nan je mwen.

Nina kitu katika jicho langu.

I have indigestion. Mwen gonfle. Nimevimbiwa.

I have my period. Mwen gen règ mwen. Nina hedhi.

I vomited. Mwen te vomi. Nilitapika.

I am allergic to that. Mwen gen alèji ak sa. Nina mzio wa hiyo.

She fainted. Li endispoze. Alipoteza fahamu.

He is hurt (injured). Li blese. Ameumia.

It hurts here. Li fè mal isit. Hapa panauma.

Do not move him. Pa deplase li. Usimsongeshe.

I need to buy (some) medicine. Mwen bezwen achte remèd. Nahitaji kununua dawa.

I am a diabetic. Mwen dyabèt. Nina ugonjwa wa kisukari.

Page 6: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

There was an accident. Te genyen yon aksidan. Kulikuwa na ajali. Please call the nurse. Tanpri, rele mis la. Tafadhali muite muuguzi.

Where does it hurt? Ki kote li fè mal? Je, unaumwa wapi? Do you have sanitary napkins? Eske ou genyen kotèks? Je, una sodo?

Where is the pharmacy? Ki kote famasi a ye? Je, famasia iko wapi?

Do you have a bandage? Eske ou genyen yon pansman? Je, una bendeji? Take 2 tablets 3 times a day. Bwè de gren twa fwa pa jou. Meza tembe 2 mara 3 kwa siku.

Take 1 teaspoon once daily. Bwè yon ti kiyè yon fwa pa jou. Kunywa kijiko kidogo 1 kila siku.

Apply topically each morning and night.

Pase rappe chak maten e swa. Paka katika sehemu mahususi kila asubuhi na usiku.

Note:Tosay“ithurts”inCreole,onesays“lifèmal”orliterally,“it

makes bad.”

Note:Genyen (have) may be shortened to gen. Both

forms are used above, but they are interchangeable.

Kumbuka: Kusema "inauma" kwa Krioli, mtu husema “lifèmal” au kwa tafsiri ya moja kwa moja "hufanya vibaya."

Kumbuka: Genyen inaweza kufupishwa na kuwa gen.

Aina zote mbili zimetumika hapa lakini aina moja

inaweza kutumika kwa niaba ya nyingine.

A general practitioneris a doktè. Other specialist are listed below:

Mtaalamu wa kijumla ni doktè. Wataalamu wengine wameorodheshwa hapa chini:

cardiologist kadyològ, doktè kè mkadiolojia optometrist doktè je mpimaji wa macho

dentist dantis daktari wa meno orthopedist òtopedis,doktè zo Muotopedia, othopedisti

gynecologist doktè fanm ginakolojia pediatrician pedyat, doktè timoun

daktari wa watoto

neurologist doktè niwoloji mnurolojia, mwananurolojia

podiatrist doktè pye mpodiolojia

obstetrician doktè fanm daktari mkunga surgeon chirijyen daktari mpasuaji

Note: In rural areas,the more common way to refer to Kumbuka: Katika maeneo ya mashambani, njia ya

Page 7: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

a specialist is to say “doktè” and then state the area

of specialty. For example:Anorthopedist might be

known as an òtopedis near a city,but as a doktèzo

(bonedoctor) in more rural areas.

kawaida ya kuashiria mtaalamu ni kusema “doktè” na

kisha kutambua Nyanja ya utaalamu. Kwa mfano:

Daktari wa mifupa anaweza kujulikana kama òtopedis

karibu na mji, lakini hujulikana kama doktè zo katika

maeneo ya mashambani.

MEDICAL VOCABULARY MSAMIATI WA TIBA

The following vocabulary is included to help the

medical professional communicate with limited Creole

language knowledge. These terms will be understood

by all Haitian medical personnel, including order lies

and nurses’ aides and by most patients in urban areas

although not every term will be understood by all

patients in rural areas.

Msamiati ufuatao umejumuishwa ili kusaidia wataalamu

wa kimatibabu kupitisha habari wakiwa na ufahamu

mdogo wa lugha ya Krioli. Istilahi hizi zitaeleweka na

wataalamu wote wa kimatibabu wa Haiti, wakiwemo

wasaidizi katika hospitali na wauguzi wasaidizi na

wagonjwa wengi mijini, ingawa si zote zitaeleweka na

wagonjwa wote mashambani.

A: childbirth akouchman kuzaa

Abcès abse jipu cirrhosis siwoz sirosisi

abrasion fwote mchubuko wa ngozi

clinic klinik kliniki

abstain(food) pamanje Jinyima(chakula) cold grip(n), rap(v) mafua

accident aksidan ajali colic kolik koliki

administer(give) bay toa collapse(v) endispoze zimia, zirai

apply pase tumia, paka cough tous(n),touse(v) kohoa

affliction maladi mateso, huzuni congestion konjesyon,toufe msongamano

AIDS,HIV SIDA UKIMWI, VVU VVU,

consent konsanti,dakò idhini

ailing malad kuugua

console rekonfòte,baykouraj

fariji, tuliza

alergic genyenalèji kuwa na mzio cramp lakranp mkakamao, spazimu

allergy alèji mzio critical(grave) grav -a hatari ambulance anbilans gari la wagonjwa D:

anesthsia anestezi anestezia daze,dazed toudi tunduwaza, alitunduwaza

anesthetize andòmi tia nusukaputi, anestezia, ganzi

deceased mouri marehemu,hayati

antibiotic antibyotik antibiotiki dead mouri -liyofariki

antidote antidòt,re

mèdkont

pwazon

antidoti, kizimua sumu

deaf soud kiziwi

Page 8: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

appendicitis apenndisit apendisitisi dehydrated kòsèch,dezidrate -liyonyauka

appetite apeti hamu delusion foli ghiliba

artery,vein venn vena, ateri denture atelye,danti meno bandia

assist asiste,ede saidia detach detache tenga

B: diabetes dyabèt,sik kisukari

Bandage,bandaid pansman bendeji diaphragm dyafram daframu

basin kivèt beseni diarrhea djare,dyare kuhara

bedwetter pisannit kikojozi diet rejim chakula, mlo

belch ranngaz,degobye

teuka

digest dijere,pasenanvant meng’enya

bellyache vantfèmal kuumwa na tumbo diphtheria difteri diphteria

bicarbonate bikabonak bikabonati directions(instructions)

eksplikasyon maagizo

bite koutdan(n),mode(v)

uma disinfect dezenfekte ua viini vya maradhi/vijidudu

bleeding senyen kutokwa na damu disrobe dezabiye vua

bloodpressure tansyon shinikizo la damu dislocated dejwente iliyoteguka

blow(hit) kou pigo dizziness toudisman,vètij,tèt vire

kizunguzungu

breathe respire pumua doctor doktè daktari

broken kase -liyovunjika, -liokatika

doctor’soffice biwodoktè,klinik ofisi ya daktari

bronchitis bwonchit bronkitisi dosage,dose dòz kipimo na maagizo ya matumizi ya dawa, kipimo cha dawa

bruise metri vilia drain(v) degoute kausha

bug tibèt mdudu drainage drenaj mtiririsho

bump rappe(v) gonga, gongana na

E:

bumponhead konkonm,bòs gongana kwa kichwa

earache malzòrèy maumivu ya sikio

C: effect efè athari, matokeo

cap(forbottle) bouchon kifuniko electrocardiogram

kontwòlkè elektrokadiogramu

carefor swen,okipe kutunza emergency,urgency

ijans dharura

Page 9: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

careful(becareful) veye,fèatansyon angalifu, kuwa mwangalifuini

emaciated mèg dhoofika

centipede/millipede

annipye,milpye,milpat

tandu enrich,enriched anrichi sitawisha, stawishwa

cervix bouchmatris seviksi epidemic epidemi mkurupuko

epistaxis, nensenyen epistaksisi inspection enspeksyon ukaguzi

exam,examination

egzamen Mtihani, uchunguzi

install,put mete weka

examine(apatient)

konsilte chunguza instruct enstwi,montre agiza

exhaustion kòkraz,fatig kuishiwa nguvu, uchovu kabisa

instruction ansèyman maagizo

expert ekspè,spesyalis bingwa, stadi invalid malad -sio na nguvu

explanation eksplikasyon maelezo, ufafanuzi, fasili

iodine yòd,tentidyòd aidini

F: irritable rechiya -enye kuwasha

faint endispoze dhaifu, enye kuelekea kupoteza fahamu

irritated eksite,irite iliyowashwa

fatigue fatig,feblès uchovu isolated izole iliyotengwa

feeling sansasyon hisia itch gratèl(n) washa

fever lafyèv Joto jingi mwilini J:

fillatooth plonbe Jaza jino jaw machwè taya

flu grip homa ya mafua jaundice lajònis umanjano

fracture kase,fractire mvunjiko jellyfish lagratèl kiwavi

frail enfim kiunzi joint jwenti jointi

G: K:

gallbladder fyèl kibofu cha nyongo keepaneyeon voyejesou Kuwa mwangalifu

gargle gagari sukutua kidney ren figo

germ mikwòb kimelea kidneystone pyènanren mawe kwenye figo gonorrhea grantchalè kisonono knockout blayi,degrennen pigo

gout lagout jongo, gauti knuckle jwentidwèt konzi

H: L:

headache maltèt,tètfèmal maumivu ya kichwa

laboratory laboratwa maabara

hemorrhage emoraji hemoraji, utokaji wa damu

laceration blese mkwaruzo

hospital lopital hospitali latrine latrin,watè choo

Page 10: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

hospitalize entène laza mgonjwa hospitalini

lessen bese punguza

hourly chakinèdetan -a kila saa let(permit) kite,pèmèt ruhusu

hurts fèmal ya umiza lethal Mòtel -a kuua

hydrogenperoxide dlooksijene peroksaidi ya haidrojeni

lethargic fèb,manfouben -enye usingizi, -nayolegea

hygiene ijyèn elimusiha, usafi listless molas -tepetevu, -legevu

hypertension tansyon,tansyonwo

shinikizo la juu la damu

loose lache -lioachiwa

hypotension tansyonba shinikizo la chini la damu

loosen lage,desere achilia

hysteria krizdenè histeria lotion krèm,losyon losheni

I: lumpy gentiboul -enye mabongebonge

illness maladi maradhi M:

immobile sanmouvman -siyoenda, -siojijongeza

médicine remèd,medikaman tiba, dawa

impossible enposib -siyowezekana -siyofanyika

membrane manbran membreni

improvement alemye,miyò kuimarika meningitis menenjit meninjitisi

improvement amelyorasyon,pwogrè

kuimarika menopause menopòz ukomo-hedhi

incisor dandevan jino la chonge, la kukatia

menstralcycle,period

règ mzunguko wa hedhi

incurable sangerizon,engerisab

-sioponyeka migraine migrèn,tètfèmal kipandauso

inebriated sou,gri levya mixture melanj mchanganyiko

infect baymaladi ambukiza molar dandèyè gego

infected enfekte -lioambukizwa motionless sanmouvman -siosonga

infection enfeksyon maambukizi mouthwash dezenfektan

pou bouch

-a kuosha

kinywa

infectious atrapan -a kuambukiza muscle misk,chè msuli

inflamed wouj,anfle -lio inflameshishwa

muscular miskle,manbre -a misuli

inflammation anflamasyon inflamesheni N:

influenza gwogrip influenda nausea genvomisman kichefuchefu

injury blese,domaj jeraha nervous ajite,enève -enye mfadhaiko

insomnia pakadòmi ukosefu wa usingizi

nervousness ajitasyon,enèvyman

mfadhaiko

inspect enspekte,kontwole

kagua, angalia newborn nouvone,fèkfèt mtoto mchanga

nosebleed nensenyen kutokwa na muhina

probably siman labda

Page 11: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

nostril twounen,narin tundu ya pua procedure pwosede utaratibu

nourishing nourisan kurutubisha prolong pwolonje,lonje refusha

nurse enfimyè muuguzi prostate glannpwostat glandi ya prosteti

O: psychiatric sikyatrik -nayohusu saikiatria

obstruction angòje,bouche kufungana psychiatrist sikyat msaikiatria, mwanasaikiatria

occupation okipasyon,metye

kazi pullatooth rachedan ng’oa jino

operateon fèoperasyon,operesou

pasua pulmonary pilmonè,nanpoumon

-a mapafu

optician optisyen optishiani, fundi wa vifaa vya kuonea k.v miwani

pulse poul,batmankè mpwito wa arteri

organ ògan,pati ogani purify pirifye,dezenfekte safisha

orthopedist òtopedis muotopedia, othopedisti

pus pi usaha

ovary ovè ovari Q:

overdose twòpremèd kuzidisha kiasi cha dawa kinachohitajiwa

quarantine karantèn karantini

overdue anreta -a kuchelewa, -a kupitiliza muda

quickly vit,byenvit haraka

overnight pasenwit usiku kucha quiet trankil,sanbri tulivu

overweight twògwa uzani kupita kiasi cha kawaida

R:

ovulation ovilasyon uovuleshaji rabies raj,laraj kichaa cha mbwa

oxygen oksijèn oksijeni radiation reyonnman mnururisho

P: radiograph(v) radyografye,fèradyografi

picha ya eksirei

p.m. apremidi12-6,diswa7-

12

Alasiri hadi usiku wa manane

rash,heatrash gratèl,chofi vipele, vipele vya moto

pain doulè maumivu; uchungu

reaction reyaksyon athari

painful fèmal -enye maumivu reassure rasire Hakikishia tena

painkiller kalman,remèdpoudoulè

-a kumaliza maumivu

recline kouche tandawaa, jinyoosha

painless sanpenn,sandoulè

bila maumivu ila maumivu

records(file) dosye,dokiman kumbukumbu

palpitate bat pigapiga, puma rectum rektòm,twoudèyè rektamu

Page 12: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

palpitation palpitasyon,batman

mpapatiko wa moyo

reddened wouji -enye wekundu

pancreas pankre kongosho refill(v) replen jaza tena, tia tena

panic panic,panike(v) hofu kubwa inayomwingia mtu ghafla

reflex reflèks tendohiari, tendohisia

paralyze paralize pooza, poozesha refusal refi kukataa

parasite parazit Kimelea parasiti relapse tonbemaladankò kuugua tena

pathology patoloji patholojia relationship relasyon uhusiano

patient malad,pasyan mgonjwa release(from

hospital

)

bayegzeyat toa

payment peyman malipo, kulipa relief soulajman tulizo

pediatrician pedyat,doktètimoun

daktari wa watoto respiration respirasyon,souf upumuaji

pee(urinate) fèpipi,irinen,pise kojoa

respond reponn itikia

penicillin penisilin penisilini rest(relax) poze pumzika

personal prive -a mtu binafsi rheumatism rimatis rumatizimu

perspiration swe kutoa jasho rhythm kadans ridhimu

pharmacist famasyen muuza dawa: mjuzi wa dawa

rickets rachitis matege

phobia lapè,laperèz fobia, hofu right-handed dwatye -a kulia

plasticsurgery chirijiestetik utengenezaji upya wa viungo

rigid rijid,rèd -siopindika /kunjika

posture posti,kanpe mkao ringworm lateng mba

powerful fò,pisan -enye nguvu, -enye uwezo

rock(v) baskile,balanse tikisa

pregnant ansent -enye ujauzito rollover viresoulòtbò bingirika

premature avanlè,prematire -a kabla ya wakati wake

routine woutin utaratibu

premenstrual anvanrèg -nayotokea kabla ya hedhi

S:

prenatal avannesans -a kabla ya kuzaliwa

safely byen,sanmalè Kwa usalama

pressure presyon shinikizo sanatorium sanatoryòm sanatoriamu

preventable evitab -enye kuzuilika sane sèn,genbontèt -a akili timamu

save(keep) sere Weka (hifadhi) tingling pikotman kusisimua

scabies gal upele tinnitus tandebrinanzòrèy tinitasi

scald chode jeraha-moto tiredness fatig uchovu

scream rèl,rele(v),kriye(v)

piga yowe tocough touse kukohoa

Page 13: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

scrotum sakgrenn skrotamu tovomit rechte,vomi kutapika

scrub foubi sugua sana toilet watè,latrin choo

seizure kriz tukutiko topical remèdpo -a sehemu mahususi seriously seryezman kwa hatari touth dan jino

severely grav kwa ukali touthache malden maumivu ya jino

severety severite ukali toxicity toksisite kiwango cha sumu

sexm/f sèks jinsia train(v) montre,antrene funza

sex(havesex) fèbaygay,kouche

ngono tranquilizer kalman,trankilizan kitulizo

shot(injection) piki sindano transfer transfere uhamisho

sick malad mgonjwa transfuse baysan -pa damu

sickness maladi ugonjwa, magonjwa

transfusion transfizyon upaji wa damu

sinus sinis sinasi transmissible transmisib inayoenea

sleepwith koucheak lala na transmission transmisyon ueneaji

sleeping nandòmi kulala treatable kikapabtrete -enye kutibika

sleepy gendòminanje -enye usingizi triceps trisèp,miskdèyèponyèt

trisepsi

smallpox vèrèt ugonjwa wa ndui trimester trimès,chaktwamwa

miezi mitatu smelly santi -enye kunuka turnaround virewon geuza, geuka

sorethro

at,

laryngitis

gòjfèmal,

malgòj,

anwe

maumivu ya koo twisted tòde,kokobe iliyopindwa

sperm dechay,jèm mbegu ya kiume

U:

spine rèldo uti ulcer ilsè kidonda

spleen larat wengu uncap ouvri vua kofia, ondoa kifuniko

spot tach doa

unclothed dezabiye isiyofunikwa

sprain antòs mteguko wa kifundo

uncommon ra -sio ya kawaida, -siotokea sana

stammer bege gugumia uncooked kri,sankwit -siopikwa, bichi

sternum biskèt stenamu uncross dekwaze -tokunjwa, -tofungwa

stomachache vantfèmal maumivu ya tumbo

underarm anbabra chini ya kiwiko

suddenly sibitman,briskeman

ghafla underdeveloped soudevlope,rasi(child)

-siostawi

suffer soufri teseka undernourished malnouri utapiamlo

suffering soufrans kuteseka underweight mèg,papezease -enye uzani wa chini

suffocate(v) toufe kosa hewa undigested padijere -siomeng’enywa

Page 14: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

suffocation etoufman ukosaji wa hewa undress dezabiye undoa bendeji

survive siviv,pase ongoka uneducated malapri -sio soma, -sioelimishwa

T: unhealthy malsen -sio na afya, dhaifu tablespoon gwokiyè Kijiko kikubwa

cha kulia chakula

upperpart anlè sehemu ya juu

takeoffclothes dezabiye vua nguo ureter irèt,kanalmarasa ureta

technique teknik mbinu urgency,emergency

ijans dharura

tenderness tandrès maumivu urine pipi mkojo

tepid tyèd vuguvugu urinate pipi kojoa

term tèm,limit muda kamili use(v) sèvi tumia

therapy trètman matibabu V:

thermometer tèmomèt kipimajoto vagina bòbòt,vajin uke

thorax pwatrin,lestomak

kifua vaginaldischarge pètblanch mchozo kutoka ukeni

throb bat pwita vague vag -sio dhahiri

throwup rejte,vomi tapika vaporizer vaporizatè kivukisho

thrush chit ugonjwa wa kuvimba ndani kwa ndani mwilini

variable chanje,varyab -a kugeuka, -a kubadilika

tibia zojanm tibia varicosevein varies vena varikosi

ticklish sansib -a kutekenya vegetative vejetatif,sanskonensans

-enye kula kulala tu

vein,artery venn vena,ateri

venereal veneryèn -a ngono

venom pwazon sumu

ventilate ayere,vante pitisha hewa safi

ventricle vantrikil ventrikali

vertebra vètèb,zodo pingili la uti wa mgongo

vertigo vètij,tètvire kisulisuli, kizunguzungu, kisunzi

violence vyolans vurugu

virgin vyèj,tifi bikira

virus viris virusi

visiongood/bad wèbyen/wèmal kuona

visitor vizitè mgeni

visual vizyèl -a kuona,

vital enpòtan,vital muhimu

vocalchord kòdvokal ukambasauti

Page 15: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112

vomiting vomisman kutapika

vulva patifi,bouboun vulva

W: waist tay,senti kiuno

ward(surgical) salchiriji wadi(ya upasuaji) warm tyèd(adj),chofe(v

) vuguvugu

warmth chalè uvuguvugu

warning avètisman onyo, ilani

wart vèri chunjua

watchover veye tunza

weightloss pèdipwa kupunguza uzani

well(notsick) pamalad mwenye afya

wetnurse nouris mwanamke aliyeajiriwa kunyonyesha mtoto wa mwingine

womb matris uterasi

wonderful mèvèye -zuri sana

wounded,injured blese -liojeruhiwa

X:

x-ray radyografi eksirei

Y:

yawn baye piga miayo

yaws pyan buba

youarewelcome padkwa,oumerite

umekaribishwa

yourself oumenm wewe mwenyewe

Page 16: MEDICAL CREOLE KIRIOLI YA TIBA Conditions and ailments ... · colic kolik koliki malaria palidis malaria diabetes sik,dyabèt kisukari nausea vomisman kichefuchefu diarrhea djare

MEDICAL CREOLE

Content from Humanity Road; http://humanityroad.org/

Swahili translation made available by Translators without Borders’ Words of Relief

http://translatorswithoutborders.org/node/112