uicc hpv and cervical cancer curriculum chapter 2.e. screening and diagnosis - staging prof. achim...

23
UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Upload: lucas-coyle

Post on 10-Dec-2015

241 views

Category:

Documents

4 download

TRANSCRIPT

Page 1: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

MTAALA WA UICC WA

HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Page 2: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

01 Sura ya 2.e.

Uchunguzi na ubainishaji – Uwekaji Hatua

Prof. Achim Schneider, MD, MPHCharité Universitätsmedizin Berlin, Ujerumani

Page 3: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

02 Saratani ya Mlango wa Kizazi• Ubainishaji

• Uwekaji Hatua

• Tiba

-Upasuaji

-Mnururisho

-Tibakemikali

• Ubashiri wa ugonjwa

• Matibabu ya ufuatilizi

Page 4: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

03 Mfumo wa FIGO wa Uwekaji Hatua

Hatua ya I Hatua ya II

Hatua ya III Hatua ya IV

Page 5: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slide

04 Hatua ya I (1)

TNM

FIGO

TX Uvimbe wa kimsingi huwezi kukadiriwa

T0 Hakuna uhakiki wa uvimbe wa kimsingi

Tis 0 Kasinoma inayodhihirika (saratani kabla ya kuanza kuenea)

T1 I Kasinoma ya mlango wa kizazi iliyozuiliwa kwenye mfuko wa uzazi (utando hadi kwenye kiungo haufai kutiliwa maanani)

T1a I A Saratani inayoenea inaweza kugunduliwa tu kwa kutumia hadubini. Majeraha yote yanayoonekana kwa macho (hata yale ambayo yameenea juu juu) yako kwenye hatua ya IB/T1b

T1a1 I A1 Uvamizi wa Stromali (Stromal) usiozidi milimita 3 kwa kina na usiozidi upana wa milimita7 kwa kipenyo

T1a2 I A2 Uvamizi wa Stromali unaozidi milimita 3 lakini usiozidi milimita 5 kwa kina na usiozidi upana wa milimita 7 kwa kipenyo

T1b I B Jeraha linaloonekana kitibabu lililozuiliwa katika mlango wa kizazi au jeraha linalogunduliwa kwa hadubini linalozidi ukubwa wa IA2

T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and ObstetricsRejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

Page 6: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slide

05 Hatua ya I (2)

Page 7: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

06 Hatua ya (3)

TNM

FIGO

T1b I B Jeraha linaloonekana kitibabu lililozuiliwa katika mlango wa kizazi au katika jeraha linaloonekana kwa hadubini linalozidi ukubwa wa IA2

T1b1 I B1 Jeraha linaloonekana kitibabu lisilozidi sentimita 4 kwa ukubwa

T1b2 I B2 Jeraha linaloonekana kitibabu linalozidi sentimita 4 kwa ukubwa

T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and ObstetricsRejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

Page 8: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

07 Hatua ya I (4)

Page 9: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

08 Hatua ya II

TNM

FIGO

T2 II Uvimbe huvamia hadi nje ya mfuko wa uzazi lakini hauenei hadi kwenye ukuta wa fupanyonga au kwenye theluthi ya chini ya uke

T2a II A Pasipo uvamizi kwenye sehemu iliyo karibu na mfuko wa uzazi

T2b II B Palipo uvamizi kwenye sehemu iliyo karibu na mfuko wa uzazi

T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and ObstetricsRejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

Page 10: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

09 Hatua ya III

TNM

FIGO

T3 III Uvimbe uliotanda hadi kwenye ukuta wa fupanyonga na /au uhusisha theluthi ya chini ya uke na/au husababisha kuvimba kwa figo kunaosababishwa na urejeshaji wa maji (hydronephrosis) au kutofanya kazi kwa figo

T3a III A Hakuna utando hadi kwenye ukuta wa fupanyongaUvimbe uhusisha theluthi ya chini ya uke

T3b III B Uvimbe hutanda hadi kwenye ukuta wa fupanyonga na/au husababisha kuvimba kwa figo kunaosababishwa na urejeshaji wa maji (hydronephrosis) au kutofanya kazi kwa figo

T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and ObstetricsRejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

Page 11: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

10 Hatua ya IV

TNM

FIGO

T4 IV Uvimbe huingilia utando telezi wa kibofu au puru na/au hutanda hadi nje ya fupanyonga ndogo na/au huwa ni ugonjwa wa mbali

T4 IV A Uvimbe hushambulia utando telezi wa kibofu au puru na/au hutanda hadi nje ya fupanyonga halisi

T4 IV B Metastasisi ya mbali

T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and ObstetricsRejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

Page 12: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

11 Matatizo ya Uwekaji Hatua • Saratani ya mlango wa kizazi ndio uvimbe wa ginakologia

pekee unaowekewa hatua kwa njia ya utibabu!

-Maanani yanatiliwa tu matokeo yanayotokana na uchunguzi wa kabrasha (manual examination), utafiti wa seli za kibofu (cystoscopy), utafiti wa seli za puru (rectoscopy), bayopsi (biopsy) au utafiti wa sampuli ya koni (conisation) na uwekaji taswira wa eksirei (yurogramu ya i.v.,eksirei ya kifua)

-Maelezo kutoka kwa maandishi ya CT, sintigrafia (scintigraphy), limfografia (lymphography),MRI na/au laparoskopia (laparoscopy) hayana ushawishi katika hatua ya msingi

Page 13: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

12 Mfumo wa uwekaji hatua wa FIGO

• FIGO haitilii maanani:

- Hali ya kivimbe cha limfu

- Kuhusishwa kwa kibofu na/au puru

- Uenezi wa ndani ya tumbo

Page 14: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

13 Uwekaji taswira

Page 15: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

14 Uingiliaji kwenye kibofu

Page 16: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

15 Uingiliaji kwenye mnara wa puru

Page 17: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

16 Uingiliaji kwenye kifuko cha Douglas

Page 18: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

17 Utathmini wa kivimbe cha limfu cha karibu na aota

Page 19: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

18 Kivimbe cha limfu cha kushoto cha fupanyonga kilichoathirika

Page 20: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

19Uondoaji wa kivimbe cha limfu cha karibu na aota kilichoingiliwa na uvimbe

Page 21: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

20Kivimbe linzi cha limfu katika saratani ya mlango wa kizazi - uwekaji lebo kwa kutumia rangi ya samawati (patent blue labelling)

Page 22: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slaidi

21Kivimbe linzi cha limfu katika saratani ya mlango wa kizazi - uwekaji lebo kwa kutumia kemikali ya Technetium na uchunguzi wa kupima kidonda kwa kutumia kifaa cha gamma

Page 23: UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - StagingProf. Achim Schneider, MD, MPH

Slide

22

Asante

Wasilisho hili linapatikana katika www.uicc.org/curriculum