pamiti.doc

Upload: jonas-msigala

Post on 05-Jul-2018

226 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

  • 8/15/2019 PAMITI.doc

    1/1

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

      IDARA YA UHAMIAJI

    OFISI YA UHAMIAJI (M)S.L.P 369

    MUSOMA

     

    Kamishna Mkuu wa Uhamiaji

    S.L.P. 512

    DAR ES SALAAM

    YAH: MALIPO YA HATI YA UKAAZI (RESIDENCE PERMIT CLASS C)FR ZACHARIAS A.

    POULOSE

      Mtajwa hapo juu ni Padre wa Kanisa Katoliki ambaye anatarajia kufanya kai katika jimbo la !unda

     baada ya kupata kibali "ha kuishi n"hini. #mbi lake liko makao makuu ya Uhamiaji na

    limeshaidhinishwa .

    $imbo Katoliki la !unda limelipia ombi hilo kwenye risiti %&'() namba *5+2*1, na "ash deposit

    slip namba ,-2+2 ote a tarehe 5/5/2015 hapa #fisi ya Uhamiaji !unda.

      Pamoja na barua hii naambatanisha hati tajwa kwa hatua ako muhimu.

     awasilisha

    34S &. Mushoni

    6fisa Uhamiaji 7ilaya

    BUNDA

     akala kwa

    • 6fisa Uhamiaji Mkoa

    S.L.P. +8-

      MUSOMA9999999999999Maaio yako yametekelewa

    • Katibu wa 6skofu

      S.L.P. 2,5

      BUNDA999999999999999Kwa taarifa

    Anuani ya Simu: “UHAMIAJI”

    NUKUSHI:

    SIMU: +255 282622426

    KUMB:BND/IMM/O.P/O!..2/"2

    O#ISI $A UHAMIAJI %I!A$A

    S.!.P 4&'

    BUNDA(u)*ay, "5 May 2"&5