mafunzo ya pre form one,tution ,pre form five na...

2
PROFESSIONAL & SPECILIZATION COURSES (MAFUNZO MAALUMU -(CHETI NA DIPLOMA) MIT offers the Basic Technician Certificate which follows both VETA and IT Essentials based curriculum equipping students with appropriate knowledge and skills necessary to understand and become successful in the world of Information Technology. Course duration 2 Semesters and field work Certificate in professional system management (cpism) Certificate in information technology (CIT) Certificate in Computing and Information Technology . Certificate in Business Information Technology . Certificate in Pc Technology & System management. Certificate in Computer Maintenance and Networking. Computerized Accounting with Business practices PROFESSIONAL COURSES (MAFUNZO MAALUMU YA MUDA MREFU-(CHETI NA DIPLOMA) CERTIFACATE IN SECRETARIAL ,OFFICE MANAGEMENT & COMPUTER SKILLS Duration 2 Semesters and field/practical work FEES COURSSE CONTENTS: Typing information & Handling office administration Attending visitors and telephone calls Maintaining safe, secure ,sales and controlling stock Handling public relations, answer- ing correspondence Arranging meetings ,events & Supervising junior staff Commercial documents & human resources issues Basic and advanced computer &information technology CERTIFICATE IN HOTEL MANAGEMENT: TOUR GUIDE & OPERATION Duration 2 Semesters and field/practical work FEES CONTENTS: An opportunity for candidates interested in obtaining top management and tourism positions in the hospitality industry includ- ing Motels, Banquette, Resorts, Hotels, Conference hall and Restaurants. CERTIFICATE IN BUSINESS MANAGEMENT & MARKERTING Duration 2 Semesters and field/practical work FEES COURSSE CONTENTS: The course is designed to provide a strong foundation of commu- nications, problem solving, and leadership skills for the business setting. Student can self employed or work as Finance Managers, Marketing Managers, Human Resource Managers, Credit Manag- ers , Accountants and Operation CERTIFACATE IN FRONT OFFICE OPERATIONS & HOUSE KEEPING Duration 2 Semesters and field/practical work FEES CONTENTS: Reception, Room Keeping, English, French, Business Management and Accounting. CERTIFACATE IN EARLIY CHILDHOOD EDUCATION & NURSEARY SCHOOL TEACHERS Duration 2 Semesters FEES CONTENTS: The Early Childhood Education certificate program is a fully accredited teacher certifi- cation program which prepares students to teach children in preschool through grade 2. Meeting the curriculum requirements for the Early Childhood Education in Tanzania. Supporting Subjects for those taking above course: Communication & Business English and French Bookkeeping &Commercial arithmetic Entrepreneurship education and business planning. Health ,safety, Life skills & Preventive maintenance. Basic /advanced Computer skills, Internet and e mail. MAFUNZO YA PRE FORM ONE,TUTION ,PRE-FORM FIVE NA KOZI ZA KIINGEREZA: Mafunzo haya yanatolewa kwa walio kazini au shule za msingi,secondari, na wakati wa likizo,weekend au jioni bada ya masomo kwa wanafunzi na wafanya kazi. Pia tunatoa huduma ya kufanya mazoezi ya computer na lugha kwa wale ambao walimaliza muda mrefu au kujikumbusha . Tuna program maalumu kwa watoto kujifunza kutumia computer na internet katika masomo ya Hisabati na sayansi. MASOMO KWA PRE-FORM ONE . Kiingereza :Hisabati : Masomo ya Sayansi Computers na internet MASOMO KWA KIDATO CHA NNE NA CHA TANO Computer application and document processing E-learning & digital technology Computer hardware and software. Problem solving with computer. Basic uses of Internet & email Social media/digital technology. MAFUNZO YA KIINGEREZA ( LEVEL 1 - 3) Mafunzo haya yamegawanyika katika mifumo 5: Kingereza fasaha (Grammar Drill) (Kuongea na matamshi (Speaking) Mbinu za uandishi (Writing skills) Mbinu za kusoma (Reading skills). Kusikiliza kutambua na kuelewa (Listening skills) COMPUTER SHORT COURSE Program/Package Duration Fess Introduction to computer & OS 2 weeks 25,000 Microsoft word– 2003/ 2007/2010 2 weeks 30,000 Advanced Office application 3weeks 80,000 Microsoft Excel 2003/2007/2010 2 weeks 35000 Microsoft Power point2003/2007/2010 2 weeks 25000 Microsoft Access2007/2010 3 weeks 80,000 Basic /Advanced Internet/email 2 weeks 25,000 Coral draw 3 weeks 80,000 Statistic package (SPSS) 3 weeks 80,000 Windows server (any platform) 3 weeks 150,000 International Computer Driving license (ICDL 3 weeks @ modules 50000 OFFERS,DISCOUNTS & SPONSORSHIP: MIT kushirikiana na NGO(TAREO) tunatoa offer ya wa- toto kujifunza computer bure, na discount ya hadi 50% kwa familia au wafanyakazi wanaojiunga kuazia watatu kwa pamoja na pia kupitia NGO tunatoa uzamini wa ada kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ambao ina dhibitika hawana uwezo. ASUBUHI 2:00 as – 4:00 asubuhi 4:00 as – 600 Mchana MCHANA 6:00 – 8:00 Mchana 8:00 – 10:00 Alasiri 10:00 – 12:00 jioni JIONI JUMAMO- SI 12:00 pm – 1:30 usiku Saa 3Asubuhi - 6 Mchana MUDA WA MASOMO DARASANI

Upload: others

Post on 07-Jul-2020

10 views

Category:

Documents


0 download

TRANSCRIPT

Page 1: MAFUNZO YA PRE FORM ONE,TUTION ,PRE FORM FIVE NA …mit.tareo-tz.org/wp-content/uploads/2016/03/brochure.pdf · Introduction to basic Accounting Tally/Quickbook Installation & configuration

PROFESSIONAL & SPECILIZATION COURSES (MAFUNZO MAALUMU -(CHETI NA DIPLOMA)

MIT offers the Basic Technician Certificate which follows both

VETA and IT Essentials based curriculum equipping students

with appropriate knowledge and skills necessary to understand

and become successful in the world of Information Technology.

Course duration 2 Semesters and field work

Certificate in professional system management (cpism)

Certificate in information technology (CIT)

Certificate in Computing and Information Technology .

Certificate in Business Information Technology .

Certificate in Pc Technology & System management.

Certificate in Computer Maintenance and Networking.

Computerized Accounting with Business practices

PROFESSIONAL COURSES (MAFUNZO MAALUMU YA MUDA MREFU-(CHETI NA DIPLOMA)

CERTIFACATE IN SECRETARIAL ,OFFICE MANAGEMENT & COMPUTER SKILLS

Duration 2 Semesters and field/practical work FEES COURSSE CONTENTS:

Typing information & Handling

office administration

Attending visitors and telephone

calls

Maintaining safe, secure ,sales and

controlling stock

Handling public relations, answer-

ing correspondence

Arranging meetings ,events & Supervising junior staff

Commercial documents & human resources issues

Basic and advanced computer &information technology

CERTIFICATE IN HOTEL MANAGEMENT: TOUR GUIDE & OPERATION

Duration 2 Semesters and field/practical work FEES CONTENTS:

An opportunity for candidates interested in

obtaining top management and tourism

positions in the hospitality industry includ-

ing Motels, Banquette, Resorts, Hotels,

Conference hall and Restaurants.

CERTIFICATE IN BUSINESS MANAGEMENT & MARKERTING

Duration 2 Semesters and field/practical work FEES COURSSE CONTENTS:

The course is designed to provide a strong foundation of commu-

nications, problem solving, and leadership skills for the business

setting. Student can self employed or work as Finance Managers,

Marketing Managers, Human Resource Managers, Credit Manag-

ers , Accountants and Operation

CERTIFACATE IN FRONT OFFICE OPERATIONS & HOUSE KEEPING

Duration 2 Semesters and field/practical work FEES CONTENTS:

Reception, Room Keeping, English, French, Business Management

and Accounting.

CERTIFACATE IN EARLIY CHILDHOOD EDUCATION & NURSEARY SCHOOL

TEACHERS

Duration 2 Semesters FEES CONTENTS:

The Early Childhood Education certificate

program is a fully accredited teacher certifi-

cation program which prepares students to

teach children in preschool through grade 2.

Meeting the curriculum requirements for the

Early Childhood Education in Tanzania.

Supporting Subjects for those taking above course:

Communication & Business English and French

Bookkeeping &Commercial arithmetic

Entrepreneurship education and business planning.

Health ,safety, Life skills & Preventive maintenance.

Basic /advanced Computer skills, Internet and e mail.

MAFUNZO YA PRE FORM ONE,TUTION ,PRE-FORM FIVE NA

KOZI ZA KIINGEREZA:

Mafunzo haya yanatolewa kwa walio kazini au shule za

msingi,secondari, na wakati wa likizo,weekend au jioni bada ya

masomo kwa wanafunzi na wafanya kazi.

Pia tunatoa huduma ya kufanya mazoezi ya computer na lugha

kwa wale ambao walimaliza muda mrefu au kujikumbusha .

Tuna program maalumu kwa watoto kujifunza kutumia computer na

internet katika masomo ya Hisabati na sayansi.

MASOMO KWA PRE-FORM ONE .

Kiingereza :Hisabati :

Masomo ya Sayansi

Computers na internet

MASOMO KWA KIDATO CHA NNE NA CHA TANO

Computer application and document processing

E-learning & digital technology

Computer hardware and software.

Problem solving with computer.

Basic uses of Internet & email

Social media/digital technology.

MAFUNZO YA KIINGEREZA ( LEVEL 1 - 3)

Mafunzo haya yamegawanyika katika mifumo 5:

Kingereza fasaha (Grammar Drill)

(Kuongea na matamshi

(Speaking)

Mbinu za uandishi (Writing skills)

Mbinu za kusoma (Reading

skills).

Kusikiliza kutambua na kuelewa

(Listening skills)

COMPUTER SHORT COURSE

Program/Package Duration Fess

Introduction to computer & OS 2 weeks 25,000

Microsoft word– 2003/ 2007/2010 2 weeks 30,000

Advanced Office application 3weeks 80,000

Microsoft Excel 2003/2007/2010 2 weeks 35000

Microsoft Power point2003/2007/2010 2 weeks 25000

Microsoft Access2007/2010 3 weeks 80,000

Basic /Advanced Internet/email 2 weeks 25,000

Coral draw 3 weeks 80,000

Statistic package (SPSS) 3 weeks 80,000

Windows server (any platform) 3 weeks 150,000

International Computer Driving license

(ICDL

3 weeks @

modules 50000

OFFERS,DISCOUNTS & SPONSORSHIP: MIT kushirikiana na NGO(TAREO) tunatoa offer ya wa-

toto kujifunza computer bure, na discount ya hadi 50%

kwa familia au wafanyakazi wanaojiunga kuazia watatu

kwa pamoja na pia kupitia NGO tunatoa uzamini wa ada

kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ambao ina

dhibitika hawana uwezo.

ASUBUHI

2:00 as – 4:00 asubuhi

4:00 as – 600 Mchana

MCHANA

6:00 – 8:00 Mchana

8:00 – 10:00 Alasiri

10:00 – 12:00 jioni JIONI

JUMAMO-

SI

12:00 pm – 1:30 usiku

Saa 3Asubuhi - 6

Mchana

MUDA WA MASOMO DARASANI

Page 2: MAFUNZO YA PRE FORM ONE,TUTION ,PRE FORM FIVE NA …mit.tareo-tz.org/wp-content/uploads/2016/03/brochure.pdf · Introduction to basic Accounting Tally/Quickbook Installation & configuration

WAALIMU -WAKUFUNZI NA WAHUDUMU WETU Chuo na kitengo cha biashara (M.I.T COMPUTING & ELECTRONICS

TANZANIA LTD) kina wakufunzi ,wataalamu na waalimu wa kutosha na

wenye uzoefu wa muda mrefu katika fani za technolojia ya habari na

mawasiliano,ujasiriamali,biashara,masoko,lugha,uhaziri na ualimu.

Pia tunatoa ushauri na maelekezo bila malipo kwa wanafunzai wetu na

wateja juu ya huduma na bidhaa zetu pamoja na matumizi ya internet bila malipo.

MASOMO KWA VITENDO MIT ina utaratibu mzuri wa kuhakikisha wanafunzi wake wanashirki

katika mazoezi ya vitendo.

Chuo kina vituo vya mafunzo kwa vitendo vifuatavyo.

ICT WORKSHOP –kwa wanafunzi wa kozi za computer

HIMO STATIONARY & INTERNET CAFÉ/—kwa wanafunzi

wa uhaziri na uhudumu wa ofisi.

FRESH COMMUNICATION CENTER & CAFTERIA-kwa wana-

funzi wa hotel management,tours na front office operations

MAJENGO KIDS & YOUTH TECHNOLOGY SCHOOL-kwa

mafunzo ya ualimu .

TAREO–NGO –Kwa mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi ili ku-

wajengea ujasiri na kujiamini katika kujiajiri na kufanya kazi na jamii..

MAZINGIRA YA CHUO Tupo mazingira salama,tulivu na ya kumfanya mwanafunzi kuwa

msikivu darasani.Tunayo parking kwa kwa wateja wetu na usala-

ma wa mali zao .Madarasa yana vitendea kazi na zana bora za

kufundishia.

USAJILI ADA ZETU NA MALIPO YA HUDUMA ZETU

Mwanafunzi anatakiwa kujisajili kwa kuchukua form kwa kuilipia sh 5,000/=.Ada zinalipwa kidogokidogo au kwa kadri ya uwezo .Karibu

ofisini au wasiliana nasi kupata maelekezo na malipo yote lazima upatiwe

risiti yenye muhuri wa chuo au ofisi.

Malipo yanaweza kupitia BANK au HUNDI ,katika accounti zifuatazo:

MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY (EXIM BANK )

ACC NO 0770449200

MIT COMPUTING & ELECTRONICS TANZANIA LTD

(CRDB BANK) ACC NO:015032447660

AWARE COURSE (BEGINNERS)

Duration (6 weeks– 2months) FEES

Introduction, Ms word 2007/10

Ms Excel :PowerPoint 2007/10

Basic Internet ,E-mail.& Websites

CERT IN TECHNICIAN COURSE

Duration 3 months FEES

General PC Maintenances/assembly

External devices ,& Peripherals

Pc/Laptope and Printer system architecture

Core Hardwares & Softwares specifications and Instalations

Computer system upgrades,configurations,setup &drivers.

CERTIFICATE IN COMPUTER NETWORKING(N+ )

Duration 2 months FEES

Operating system topology

Network components/Layers and Topology

LAN/Network transmission & Configurations

Networks/Cabling/Devices and resource sharing

Tcp/IP/Modems/satellite and net security

CERTIFICATE IN GRAPHICS DESIGNING &MULTMEDIA

Duration 3 Months FEES

Basic application and designing using

Publisher,Page maker and Print artist.

Photoshop, In design and illustrator

Uses and application of 3D animation

WEB DESIGN CERTIFICATE COURSE

Duration 2 Months FEES

Basic & Advanced HTML/HTML tag

Dream weaver., Fire works, macromedia.

Adobe Photoshop related techniques.

ACCOUNTING WITH COMPUTER COURSE

Duration 2 Months FEES

Introduction to basic Accounting Tally/Quickbook

Installation & configuration of accounting packages.

Company files and futures of packages (quickbook)

Managing financial accounting and inventories.

Preparation of reports/summary and printing.

CERTIFICATE IN COMPUTER MANAGEMENT

(Windows, Computer peripherals and devices (parts) Operating system and Software management

Computer Networking,, trouble shooting& maintenances.

Drivers, security, configuration, internet and E-commerce.

MIT kina usajili wa serikalini na mamlaka ya ufundi stadi VETA na

kutoa mafunzo kwa mitaala ya CEBET,APTECH-MICROSOFT NA CISCO

TUNA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 10 YA UTOAJI WA MA-

FUNZO NA HUDUMA ZA:

COMPUTER-NGAZI YA AWALI , CHETI NA DIPLOMA.

UFUNDI WA COMPUTER-(MAINTANANCE & NETWORKING)

UHAZILI NA UTUZAJI WA OFISI(SECRETARIAL & OFFICE MANAGEMENT)

LUGHA YA KIINGEREZA NA KIFARANSA

MAFUNZO YA UHASIBU KUTUMIA COMPUTER(ACCOUNTING PACKAGES)

MAFUNZO YA UHUDUMU WA MAHOTEL NA UTALII

GRAPHIC DESIGNING & MULTMEDIA:

MAFUNZO YA KOZI ZA MICROSOFT,CISCO,COMPTIA NA EDEXCEL

UKIWA NA MIT /MIT COMPUTING & ELECTRONICS TZ LTD

UNAPATA HUDUMA ZA UHAKIKA NA WARRANT KWENYE: STATIONARIES - JUMLA NA REJAREJA,MACHAPISHO NA COPYI

MATENGENEZO NA UZAJI WA COMPUTE R NA VIFAA VYA ELECTRONICS.

VIFAA VYA MASHULENI PAMOJA NA VYA MA OFISINI (CONSUMABLE)

PASSPORT SIZE,CD,MOVIES,FLASH DISKS,MEMORY,SOFT/HARDWARE.

KU-INSTALL PROGRAM,ANTIVIRUS NA SOTWARE MBALIMBALI.

KUFANYA MAZOEZI YA COMPUTER PAMOJA NA TYPING SPEED.

HEAD OFFICE MOSHI

TUPO JENGO LA T.C.G.A-1st floor. BARABARA YA RINDI OPPOSITE UHURU PARK/BRISTOL COTTAGE AU HOSPITAL YA KILIMANJARO

PO BOX 8734 MOSHI: Tel/Fax 02750531 : Mobile 0767 -348619 /0652-765263/ 0757-765260

E-mail [email protected] WEBSITE www.mit.ac.tz or www.mitcomputing.netne.net

DIRECTOR: (+255) 0754-469894 /0717157640

HIMO Tupo Barabara ya Marangu

Opp.King size Hotel/Tanesco Tel/Fax 0272756105 / 764191382 Mobile: 0765-042257/0717157640

E-mail [email protected]

www.mit.ac.tz

DAR ES SALAAM Tupo Kimara-Temboni

Saranga center/ street

Po Box 3918 Dar

Mobile 0658 940612 /0684-644991

0759-833091/0717157640

[email protected]

UBORA WA KOZI ZETU Mafunzo yanalenga mahitaji ya soko la ajira na kujiajiri . Wahitimu wetu

wamekuwa na uwezo wa ushindani katika soko la ajira .Mhitimu ana patiwa chetim mara bada ya kuhitimu mafunzo.