22.d - charlie pele

6
unakumbuka vile kulienda...? SHUJAA ALEXANDER! 25

Upload: well-told-story

Post on 10-Mar-2016

287 views

Category:

Documents


8 download

DESCRIPTION

Chapta 22– Charlie Pele: Shujaa Alex

TRANSCRIPT

Page 1: 22.d - Charlie Pele

unakumbuka vile kulienda...?

SHUJAA

ALEXANDER!

25

Page 2: 22.d - Charlie Pele

26

Page 3: 22.d - Charlie Pele

Kupandasweet potatovines

Kuzalisha sweet potato vineskwa nursery

2.

4.

Kupanda sweet potato vines

1. Chagua vine ya urefu wa 1 foot ilio healthy (green bila yellow veins)

2. Chimba shimo isio-deep juu ya rows utakazo tengeneza ili kupanda

3. Weka 2/3 ya nundu kwa mchanga na 1/3 ya nundu iwe juu

4. Spacing ya kupanda ni 1 foot (30cm)

sms3008ukulima

TUMA

SM

S NA NENO UKULIMA KWA 3008 UTOE MAONI JUU YA HII R

ISTO.

5.

6.

7.

8.

Ukipanda, hakikisha kuwa nundu mbili ziko kwa mchanga na nundu moja iko juu. Nyunyizia maji kila siku.Mimea ya sweet potato vines itakuwa tayari kupandwa kwa shamba after 2 1/2 monthsVines zinaweza kuvunwa baada ya wiki kadhaa na kuuzwa for 1 bob kwa majirani. Unaweza anzisha bizna yako simply kwa kupanda new improved variety ya sweet potato seeds!Sweet potato vines zinaweza pandwa kwa areas zenye hazina mvua ya kutosha kwa kufunika nursery yako na nylon paper. Fungua sehemu kidogo ya nylon paper mchana. Toa plastic bag 2 weeks kabla ya ku-harvest ili mimea izoee hewa kavu. Weka mulch ili ku-conserve maji.

Tayarisha pale utapanda new improved variety ya sweet potato kwa kuchanganya mchanga na manure kisha uweke maji. Tengeneza kivuli juu yake.

Chukua mmea wa sweet potato usio na magonjwa au yellow stripes kwa matawi

Kata matawi ukitumia sharp blade vertically kwa sehemu utakayopanda kwa mchanga ukibakisha node moja juu

Ili kupata mbegu ya kuzalisha, hesabu nundu tatu kwanzia sehemu ya chini halafu ukate stem. Endelea kukata hivyo ili kupata mbegu mob za kupanda na kuuza.

3.

1.

27

Page 4: 22.d - Charlie Pele

After kumaliza high school nilienda Nairobi kutafuta works. Sikuwa lucky nika-end-up kupata kibarua tu. Job ilikuwa ngumu na dooh less. Life haikuwa easy. Niliamua ku-quit na nikafungua kinyozi ocha. Dooh nili-get nika-save for future.

Kuna beshte yangu alini-advise nikomboe farm Nyahururu. Niliona idea ya New Variety Sweet Potato kwa Shujaaz na nikaipenda sana. Baada ya ku-save 35k, nikaenda Nyahururu kutafuta shamba ya ku-hire.

Risto yanguna sweet potato

New improved variety za sweet potato

ni tasty sana na mavuno poa. Varieties

za new improved sweet potato varieties

zinatofautiana na areas zenye zinamea

vipoa. New sweet potato varieties ni

kama Wera, Mugande, SPK013, SalyBoro,

Ejumula, Kemb10, Nyawo na Mugande

Vindolo Vitamu na salyboro.

Alexander Chege

Nyahururu

28

Page 5: 22.d - Charlie Pele

kumbuka:

Vines za new variety sweet potato hazitazalisha tubers mob lakini ni kubwa zaidi in

size. Nyunyizia maji vines kila siku. Unaweza pata up to

mbegu 10 kutoka kwa sweet potato vine moja.

Siku-give up. Next season pia nilipanda potatoes and believe it or not, nili-harvest 110 bags of white potatos! Hii ilinipatia morale na nikaongeza shamba hadi 3 acres. Saa hii nafanya farming na nina kinyozi.

Nilianza na half an acre ya shamba. Haikuwa rahisi juu sikuwa na experience ya farming. Nili-employ wasee wanisaidie. Hiyo season haikuwa poa vile. Harvest ilikuwa kidogo juu kulikuwa ku-dry sana.

29

Page 6: 22.d - Charlie Pele

Challange ambayo na-experience huku ni bad roads. Inakuwa expensive sana kufikisha harvest zangu sokoni. Hata hivyo, farming inaniwezesha kusaidia familia yangu na hata nalipia siblings wangu fees chuo.

Thanks to Shujaaz, I earn a living in a way that I can be proud of. Ma-youth wajue kwamba, ile knowledge kidogo uko nayo ndio itakufikisha mbali. Tia bidii na usi-lose hope incase haija-work-out the first time. Jaribu tena na tena na matokeo yatakufurahisha!

kumbuka:Vines za new variety sweet potato hazitazalisha tubers mob lakini ni kubwa zaidi in

size. Nyunyizia maji vines kila siku. Unaweza pata up to

mbegu 10 kutoka kwa sweet potato vine moja.

30